Ukimfuatilia Mtaka utagundua ni aina ya wale watu wanaotafuta UMAARUFU kwa kutoa maneno yanayowafurahisha watu na kutafuta mifano mingi na kuizungumza kwenye jamii/ mikutano.
Na mwisho wanajizolea umaarufu kuwa ni viongozi mahiri sana. Ukija kwenye matokeo ya nafasi za uongozi unakuta hakuna alichokifanya.
MTAKA AMEPATA UMAARUFU LAKINI UKIAMBIWA NI KIPI KIKUBWA ALICHOKIFANYA NI HAKUNA.
NI KAMA CRIS MAUKI TU ALIVYO MAARUFU KWA KUWAFURAHISHA KINA MAMA ila la maana hakuna
Motivation speakers
Nilimsikia mtaka akitoa analysis ya kijiweni,eti wafanyabiashara wakubwa nchini wanatoka njombe. Sababu eti kariakoo Kuna wakinga wengi