kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Duh!Mlimani City 10,000, Pale Century Cinema
π π π π π πMlimani City 10,000, Pale Century Cinema
Du! Umemkata kilimi! Ila miwani si zinatofautiana? Hata hizi nyingine tunazovaa za macho unaweza kukuta ya elfu 10 na nyingine yenye kazi hiyo hiyo kwa laki 2 na hata zaidi.Mlimani City 10,000, Pale Century Cinema
Ntapta hapoANTI BLUE RAYS GLASSES
Ni miwani maalumu inayokuepusha na madhara yatokanayo na kuangalia kwa muda mrefu computer simu TV kutokana na mionzi hatari na kuweza kulinda macho yako.
Miwani hii inawafaa wote watumianji wa vifaa vyenye mionzi hiyo ya blue kama,
Wafanyakazi wanaotumia sana computer
Wanafunzi wa vyuo
Waangaliaji wa movies series
Game addict
Bei yake ni 45000/=
Tunapatikana makumbusho stand
Tupigie kwa namba
0712700430View attachment 1714652
The RealD 3D glasses used in movie theaters are passive polarized glasses, which is typically used in movie theaters.Mlimani City 10,000, Pale Century Cinema
Wahehe mna nini lakini?Mlimani City 10,000, Pale Century Cinema