wakuu, kuna uvumi kwamba anti ezekiel ataolewa hivi karibuni!!!
ni vema ikajulikana ni nani atakayefaidiana unyumba na celebrity huyu maisha yao yooooote!!!
mkuu yeyote atakayekuwa na habari za uhakika atujuze kwasababu kuu mbili...
1. ili tujiandae kuwatakia maisha mema katka ndoa yao!!!
2. wenye wivu wajinyonge!!!
hamna mke hapa!! Jamaa anamoyo kweli anaongea na demu huku kavaa kitaulo!
HAHAHAHAHA:becky::becky:!! TAULO YA GUEST SIYO! :becky::becky::becky:katoka kulambwa huyu ana maanaaaa basii
anyway tusije waletea picha za babazenu mkaahama na jf milele msifike tena na huyo binti
anyway mume mwema uppewa na bwana tumsubiri huyo alieshushwa na bwana kwa ajili yake
HAHAHAHAHA:becky::becky:!! TAULO YA GUEST SIYO! :becky::becky::becky:
Guest ipi jamn Namnani au??:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Duh! huyu demu ana vidole vibayaaaaaaaaa vya mguuni pamoja na makucha yaliyo ungua khaaaaaaaaa!May be huyu jamaa atamuoa naona anasave namba kabisa.......
Aaaaaaaaagh umeau kabisa hapa.... Kweli wanaweza kuahama JF kabisa.katoka kulambwa huyu ana maanaaaa basii
anyway tusije waletea picha za babazenu mkaahama na jf milele msifike tena na huyo binti
anyway mume mwema uppewa na bwana tumsubiri huyo alieshushwa na bwana kwa ajili yake
inabidi tumuulize PDIDY! Lakini takuwa maeneo ya SINZA HayoGuest ipi jamn Namnani au??:glasses-nerdy::glasses-nerdy: