Anti Ezekiel kuolewa hivi karibuni: Na nani???

au ndio huyu aliyekuwa akiigiza naye? nasikia huyo kanumba naye yuko mbioni kuvuta jiko!!!

 
Kuuliza ni kutaka kupata uwelewa zaidi. Mbona anaitwa jina la kiume?
 
Kuuliza ni kutaka kupata uwelewa zaidi. Mbona anaitwa jina la kiume?




hiyo ilikuwa sababu mojawapo ya post hii; hata hivyo wanadai majina mengi siku hizi hayafuati jinsia mfano

  • hilary
  • yohana
  • ongezea...
 
hivi kukaa mapaja nje katika picha zote ni kawaida yake au yuko kibiashara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…