Mbacho Massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 304
- 248
Hahaa mkuu umewahi kulala na mtuu anaye koroma?Mpaka kwenye kulala nianze tena kutumia gharama? Hapana aisee! Watakuja wajuvi
Hahahaha umenifurahisha Sana mkuu. Yanaweza kukosa tuu maana kwako kwa wengine yakawa dili bossHivi unajua starehe ya usingizi wa kukoroma kwa mlalaji? Kero labda anapata unayelala naye ila anayekoroma anastareheka balaa. Hayo madubwana yako hayana nafasi afrika, labda ulaya huko ambako mtu anaweza shtakiwa kwa kupiga mikoromo.