Anti-virus kwa mobile phone

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Wadau nisaidieni kuna jamaa yangu anadai mobile yake imekufa imeshambuliwa na virus
naogopa mobile yangu isije shambuliwa maana toka jf waweke mobile edition muda mwingi natumia mobile niwapo nje ya ofisi na home,
na ukizingatia mdau mmoja alitupa mbinu safi ya kupunguza gharama kwa kuweka line ya zain kisha unatumiwa mpangilio wa zain ktk simu yako kisha unatoa unaweka line ya voda unakula net safi.
ombi mwenye utaalamu atujuze ni anti virus gani inafaa na kama akiweka na link tuweze kudownload kabisa simu ziwe salama.
simu yangu ni sony ericsson p900
pia naomba kufahamishwa juu ya huduma ya internet kit yaani BIS ambayo nasikia zain ni 35000,
je ukiunganishwa na hii nini tofauti yake na kujiunga kawaida, au unaweza kuunganisha mobile na pc ukaendelea kusurf kama kawa
thanx in advance
 
wadau hakuna mwenye ujuvi na hili?
 
Fungua google andika wap.shal then utaona enter.utafungua utakuta model za simu. Mi ninavyo jua simu yako lazima itakuwa s60v3 appl zake zinaingiliana na nokia s60v3.
 


Tembelea hapa Mobile Security | Kaspersky Lab United States
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…