Antivirus ya bure ambayo ipo active

Antivirus ya bure ambayo ipo active

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Site gani inapatikana antivirus ambayo ni active??
 
so far as navyojua antivirus inakua active baada ya kuwa installed na kua activated...google free antivirus utapata trial version lakini km hutojali kuna za license ya mwaka ambazo ukinunua unasahau hii habari kwa mwaka mzima provided utakua unaupdate unapotakiwa kufanya hivyo
 
Hiyo ya Microsoft ndo yenyewe, mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom