so far as navyojua antivirus inakua active baada ya kuwa installed na kua activated...google free antivirus utapata trial version lakini km hutojali kuna za license ya mwaka ambazo ukinunua unasahau hii habari kwa mwaka mzima provided utakua unaupdate unapotakiwa kufanya hivyo