Wajameni, virus vinakaribia kunimaliza. Vya computer. Nimetumia ARV zote naona CD4 haziongezeki, yaani sijaweza maliza tatizo. Naomba mwenye antivirus anitumie kama attached file niweze ku-instal kwenye PC zangu mbili. Mtandao hapa ni slow, noma. Kwa maana kwamba siwezi download kabisa. Nimejaibu free AVG lakini wapi!
Naamini sisi ni ndugu na undugu unaanza popote. Hapa leo ni nafasi tosha.
Asanteni sana.
Nadhani mkuu una matatizo mengi sasa kama huwezi kudownload na net yako iko slow hata mtu akikutumia attached antivirus file itabidi uli download.
inawezekana zaidi ya tatizo la hizo HIV virus una tatizo la network.
Nakushauri jaribu kutumia Avast ni light weight lakini iko efeective. vile Vile angalia kwenye Subforum ya Downloads utakuta anvti Virus . Othewrise Nenda kwenye cafe yenye speed dowload file kwenye external drive then uinstall kwenye pc zako.
kama utakuwa na network muda mwingi kwa ajili ya net basi nakushauri ununue Kaspersky 2010 internet security au Kaspersky antivirus 2010 hizi ndo kiboko ya virusi bei yake huko bongo sijui ila Nairobi bei ya internet security ni in between 2000-2500 KSH na kwa Kaspersky antivirus ni kati ya 1000-1500 zote times 17-17.5Tsh upate halisi bei ya bongo!
ipeleke kwenye maombi, tehe tehe tehe!Wajameni, virus vinakaribia kunimaliza. Vya computer. Nimetumia ARV zote naona CD4 haziongezeki, yaani sijaweza maliza tatizo. Naomba mwenye antivirus anitumie kama attached file niweze ku-instal kwenye PC zangu mbili. Mtandao hapa ni slow, noma. Kwa maana kwamba siwezi download kabisa. Nimejaibu free AVG lakini wapi!
Naamini sisi ni ndugu na undugu unaanza popote. Hapa leo ni nafasi tosha.
Asanteni sana.
Huyo bwana kakudanganya manake kama ni one user basi haiwezi kwa two users labda kama ingekuwa ni kwa Kaspersky for WORK STATIONS hiyo ingewezekana. Ila pole sana mkubwa naona hawa virusi wamekubana dunia nzima. Ikishindikana kabisa na maumivu yakizidi basi waone wataalamu wa ict!Thanks ndugu.
Nmenuna nayo hiyo Kapersky 2010. Bei yake ni USD 25 hapa kwangu. Imeandikwa single user, ila muuzaji aliniambia naweza tumia kwa PC mbili, nikafanya hivyo. Zilikubali kuingia. Ila sasa naona hazifanyi kazi kabisa. Nikichukua file hapa kupeleka kwenye PC nyingine viruses wanaibuka kibao. Nakosa nguvu.
ipeleke kwenye maombi, tehe tehe tehe!
inawezekana unapata shida kuinstall antivirus hizo unaweza kuchagua kati ya option hizi hapa chini
1 - Tumia stand alone antivirus yoyote ambayo huhitaji kuistall ili ifanye kazi kama stinger au antivirus ambayo ni portable ambayo pia si lazima kuinstall kuweza kuitumia lakini hakikisha connection zako za internet zimefungwa na ni vizuri ukawa kwenye safe mode
2 - ukiwa kwenye safemode hiyo stinger pia inafanya kazi pamoja na avast version 4.8 au mcafee virus scan 7 mpaka 8.7 hii unaweza kuinstall na kuitumia kwenye safe mode tembelea www.filehippo.com utaweza kupata home edition ambayo ni free utaweza kuifanyia kazi kwenye safemode
3 - Pili tafuta antivirus ambayo utaweza kuscan komputa yako ikiwa kwenye mfumo wa dos kabla ya kuwaka na hii hiyo hiyo avast itaweza kufana hivyo pamoja na aina fulani ya norton .
Kumbuka ukiwa kwenye safemode application nyingi hazifanyi kazi inakuwa poa sana kuscan na kuondoa virus
Mi naona hakuna antvirus inayoweza kuondoa virus kwenye pc kwasababu antivirus, nyngi hazna uwezo wa kuondoa worms,trojan na nk.kwa hyo mi nakushauri tafuta antivirus ya mult user ndio powa.