msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 863
- 1,534
Tangu Serikali kupitia ofisi ya Rais-TAMISEMI itangaze kutoa kipaumbele kwa walimu wanaojitolea na kuwataka wakuu wa mikoa na maafisa elimu kutuma taarifa za walimu hao ofisi ya Rais Tamisemi, kuna template ya excel inazunguka mitandaoni ambapo waombaji wanajaza taarifa zao na kuzituma kwenye barua pepe yenye majina "Anton Mtweve " ambayo imeunganishwa na domain ya tamisemi.go.tz
Swali langu: Anton Mtweve ni nani huko TAMISEMI? Kama ni mtumishi wa wizara hiyo, je wizara haioni kwamba kuendelea kupokea taarifa za walimu wanaojitolea kwa lengo la kuwapatia kipaumbele cha ajira ni kupoteza muda na sio haki kwa sababu tayari zoezi hilo limegubikwa na udanganyifu mkubwa?