Go Ahead usiulize humu.Vyovyotee
inamaana hujaona kavaa pete ya ndoa kwenye kipindi chake au unataka ndoa za Mitala
Manaake Dini Imeruhusu Madam
Danganya toto hiyo, kwa akili hiyo ata huyo Nugaz hawezi kumpatayaani anakuvutia wewe halafu unataka mdogo wako awe nawe? seriously !!!
Ooh kumbe unafata kutiwa, kila la kheri starKwan kutiana mpaka uwe na akili zipi,akili zangu anazihitaji zinamsaidia nin [emoji38]