Ipo imara yangaKuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga .
Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda Yanga ni Aliyekuwa msemaji wa Simba Sc ndugu HAJJI SUNDAY MANARA
Sasa kwa kauli hii kuna uwezekano kukatokea mpasuko mkubwa sana yanga ... Team NUGAZ vs TEAM MANARA
View attachment 1912498
True. Yule aliyekwenda kule ni MAITI
Hayo meno. Anavuta sigara au ugoro ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani hao??? Post ya lini.
Maneno yanumba asije zimika akiwa yupo Yanga halafu waseme S imba tumemuuwa
Haha huyu ni simba, ni sawa na ccm kubaa sare katiba za cdm na kuita waandishi wa habari