Tetesi: Antonio Nugaz analipwa zaidi Clouds Fm

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group.

Lakini hii inaleta tafsiri kuwa kuna kitu zaidi ya umaarufu kinachozingatiwa katika media, kuna wanaoajiriwa kutokana na CV zao na wengine kutokana na vipaji vyao.
 
mfumo wa clauds unalipwa kutokana na unavyoingiza...

inawezekana kwa sasa yeye ndie anaingiza sana
Sio clouds ni media yoyote ile.

Kuna mshahara na comission ambayo mtu hupewa kwa asilimia zilizowekwa na media yenyewe so, jamaa anaweza kuwa hana mshahara mkubwa kama mtangazaji ila akawa analipwa zaidi kwa comission za matangazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…