Tetesi: Antonio Nugaz analipwa zaidi Clouds Fm

hakuna mtangazaji yeyote wa clouds anaelipwa salary zaidi ya laki 6..kama huamini nitafute inbox nikuonyeshe documents.
Imekaa vipi hii
Kenya watangazaji ni matajiri wakubwa kwa mfano yule Jeff wa East African got talent
Naambiwa ndiyo mtangazaji anayelipwa zaidi Kenya zaidi ya 20m za kibongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna mtangazaji yeyote wa clouds anaelipwa salary zaidi ya laki 6..kama huamini nitafute inbox nikuonyeshe documents.
2014 Mchomvu alikuwa Anakula laki 9,Ukitaka kuthibitisha hilo kacheck ule mjengo alio jenga pale sala sala na kule Arusha kwao,nahis saiv Anaweza akawa Anakula si chin ya 1M.
 
Labda huo mshahara wa TRA. Private companies nyingi wana payroll mbili ya serikali na ya ofisini. Usikute wewe hizo documents ulizo ona labda ni za serikali huku watu wanakula mamilioni
hakuna mtangazaji yeyote wa clouds anaelipwa salary zaidi ya laki 6..kama huamini nitafute inbox nikuonyeshe documents.
 
2014 Mchomvu alikuwa Anakula laki 9,Ukitaka kuthibitisha hilo kacheck ule mjengo alio jenga pale sala sala na kule Arusha kwao,nahis saiv Anaweza akawa Anakula si chin ya 1M.
Mshahara wa laki9 unaweza kujenga mijengo miwili? Labda wanapata Commission ambazo zinakuwa zaidi ya mshahara.
 
Aache unafiki mi nilisikia gadner habash ndio analipwa vizuri pale coz hata jahazi yeye ni kinara huyu nugaz ni kipele tu wakutumwatumwa pale halafu huyu jomba inaonekana anatokea kule kwenye urojo au tanga ongea yake tu yakiurojorojo kama mpemba vile
 
Kumbe duh! Ngoja nijute. Kuna dili ilikua tufanye ambalo lingeniingizia pesa nyingi.
Kuna mambo tukasigana(chanzo mimi) nikamtukana na kebehi juu. Najuta 😟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…