Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Yabidi Mtani. Ila naamini ni mambo ya kupita tu haya na hasira zetu tutazimaliza tarehe 08.
Wape Salaam in Nugas voice. 😉
Hamna mtani sisi hatuna mihemko kama yenu kocha hawezi fukuzwa kirahisi namna hiyo. Naungana na Shadeeya timu ilikuwa inacheza poa sana sijui nini kimetokea kwa kweli.Hapo kuna mawili:
1. Hasira zenu mzimalize kwa kumfunga Mnyama: Uwezekano wa kutokea ni 2.76%
2. Hasira zenu mzimalize kwa kumfukuzia mbali kocha wenu baada ya kufungwa na Mnyama: Uwezekano wa kutokea ni 97.24%
Hamna mtani sisi hatuna mihemko kama yenu kocha hawezi fukuzwa kirahisi namna hiyo. Naungana na Shadeeya timu ilikuwa inacheza poa sana sijui nini kimetokea kwa kweli.
Mtani tarehe 8 usije ukashindwa kuondoka uwanjani baada ya mpira kuisha kama siku ile mlipocheza na JKT.Usije na matokeo uwanjani mtani madhara ni makubwa kiafya.Sawa, sisi kama kawaida, 'Adui mwombee njaa".
Sisi tunazipokea salamu za sare sare maua kwa raha sana.
Mtani tarehe 8 usije ukashindwa kuondoka uwanjani baada ya mpira kuisha kama siku ile mlipocheza na JKT. Usije na matokeo uwanjani mtani madhara ni makubwa kiafya.