Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Oya mi sio mfuatliaj wa boxing ila nan alieshinda mweusi au mzngu?
 
Na pongezi kwa makocha wa Joshua naamini walimtahadharisha kukaa karibu na huyo mbuzi katoliki, bila hivyo tulikuwa dakika hizi tunaongea mengine na misonyo juu
duhh hili dude la katoliki kiboko halirudi nyuma na halichoki sema point limeshindwa kuzitafuta kapokea ngumi za kichwa nyingi
 
wacha tuone
 
hata angeshinda bado angechukua pesa ndogo kwa zile ambazo angelibeba Joshua , vitu Kama hivi vina shusha morali
Sure lakini Andy alitakiwa kutengeneza pesa kwa kumpiga AJ kwenye hili pambano nahakika thamani yake ingepanda sana.
 
Andy kakubali kashindwa. Wajinga kutoka Tz wanabisha
 
Next time there will be no next time jipange bwana joshua
 
Haya sasa tuongee yetu
Nasikia na sisi tulikua na bondia kapambana leo?
 
ALIYE ANDIKA SCRIPT YA PAMBANO HILI , Ana mapungufu mengi
#ImissYouMikeTysonOnTheRing
 
Mnaomponda AJ kuwa anakimbia hamjui chochote kuhusu mchezo wa ngumi
 
Joshua aliinngia kwa tahadhari sana...amepigana kwa technic amekuja hawezi kumpiga kwa KO.
Hata yeye mwenyewe Andy Luiz amekubali kasema mistake zake mwenyeji.
Hata Wilder kama atapigana na Luiz then akawa nae karibu basi Wilder anaweza kupigwa!
 
Sure lakini Andy alitakiwa kutengeneza pesa kwa kumpiga AJ kwenye hili pambano nahakika thamani yake ingepanda sana.
hata sasa thamani yake imepanda , who knew him before ya kupigana na Joshua labda kwa wafuatiliaji Wa ndani sna
 
Era ya Real boxing ishakufa..na haiji rudi tena. Saivi wamebaki ya wakimbia kimbia ulingoni...
Style ya Mayweather..
Kabisaaaa!
Ni kama kwenye soka tu pia. Eti watu wawili miaka zaidi ya 10 wanabadilishana uanasoka bora. Michezaji haina ubunifu. Na kweye ndondi ni ujanja ujanja wanatuletea habari za mbinu. Tukihoji tunaambiwa hatujui boxing. Watu tunataka ladha bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…