Silaha yake kubwa ni Ile right yake tu Ina supernatural power, ukiiepuka na ukapiga coz anajiexpose Sana waweza shinda, Ortiz Alishamuwin akajisahau tu akapigwa na Ile right akazimaMkuu, unafuatilia boxing??.
Wielder ni one dimensional boxer, kama utaweza kuepuka konde lake la mkono wa kulia basi utaweza kumpiga, sasa utawezaje kuwa bondia mzuri kwa kutegemea silaha moja??
Huyu ni Luiz wa Chelsea ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngumi za zamani kweli ndo ngumi halisi wanazotaka mashabiki
Ila kwa upande wa pili ndo ngumi zilizokuwa zinawauwa wapiganaji, mtu akifika miaka 60 au 57 anaanza kuwa zezeta, kutokana na mingumi aliyopigwa ya kutosha, ila kulingana na dunia ilivyobadilika lazima mambo yabadirike, wamegundua kikubwa ni kupata points tu
Antoni ana mikono mirefu, luiz ana mikono mifupi, ili Anton apate advantage ni inabidi kuwe na distance kwake na kwa luiz na ili Luiz apate advantage inabidi aipunguze hyo distance ili apate advantage, na Antoni kutokana na kuwa mikono mirefu hawez kupigana akiwa karibu sana, na ndo kilichokuwa kinafanyika in most of the game, lazima uone Antoni asitake kusogelewa sana na nyie lazima muone anakimbia
Kweli mkuu!Ngumi za zamani kweli ndo ngumi halisi wanazotaka mashabiki
Ila kwa upande wa pili ndo ngumi zilizokuwa zinawauwa wapiganaji, mtu akifika miaka 60 au 57 anaanza kuwa zezeta, kutokana na mingumi aliyopigwa ya kutosha, ila kulingana na dunia ilivyobadilika lazima mambo yabadirike, wamegundua kikubwa ni kupata points tu
Antoni ana mikono mirefu, luiz ana mikono mifupi, ili Anton apate advantage ni inabidi kuwe na distance kwake na kwa luiz na ili Luiz apate advantage inabidi aipunguze hyo distance ili apate advantage, na Antoni kutokana na kuwa mikono mirefu hawez kupigana akiwa karibu sana, na ndo kilichokuwa kinafanyika in most of the game, lazima uone Antoni asitake kusogelewa sana na nyie lazima muone anakimbia
43 fights 41 KO'sMkuu, unafuatilia boxing??.
Wielder ni one dimensional boxer, kama utaweza kuepuka konde lake la mkono wa kulia basi utaweza kumpiga, sasa utawezaje kuwa bondia mzuri kwa kutegemea silaha moja??
Tanzania tulipata bahati na heshima kubwa kujumuishwa mabondia wetu kwenye pambano la Joshua na Luiz.
Ila tulishindwa kuitendea haki nafasi hiyo.
Hahah acheni mhemko !Na alilijua hilo ndio maana akawa anacheza KWA tahadhari sana naona huyo mmarekani-mMexico Ali interrupt interview ya AJ kuomba rematch for the third time,trust me asirudie TENA atapigwa VIBAYA mno,
Hukumwona Mbabe Selemani Saidi?Tanzania tulipata bahati na heshima kubwa kujumuishwa mabondia wetu kwenye pambano la Joshua na Luiz.
Ila tulishindwa kuitendea haki nafasi hiyo.
Best comment, ndio AJ kachukua mkanda kwa kupiga jebu na kukimbia Maywether style, heavy weight champions nilitarajia kuona ngumi za uso kw uso, ndio maana namuona Wilder true champions kwa kizaz hiki, huyu mwamba hana muda wa kukukimbia kimbia, ni piga nikupigeThe critical comments seem justified to balance the over the top acclaim the commentators are giving to AJ's performance.
This was not a real fight that people wanted to see but a tactical swerving of fighting to gain belts back. Jab and run aren't fighting guys.
How can AJ call himself the heavyweight champion by running away for 12 rounds? If you're a true heavyweight champion, you don't do it by running away. You stand and fight! You show the world what you're made of.
Ruiz was right to beckon him at the end. It's like he turned up to a 100m sprint with a beer belly and a snickers bar.
But fair play to AJ, the only way he could beat Ruiz was sticking to the game plan of running and dancing away like a chicken relying on his jab and superior reach.
[emoji44][emoji44][emoji44]AJ hamna kitu kabisa..
Kwanza raundi ya kwanza ruiz hakitaka watu wadebate nani zaidi, alimkung'uta kwa knock out nzuri tu kuepuka mabishano, pili sasa hivi AJ kashinda kwa points na overall kwngu ruiz kashinda. Kuna raundi ruiz alikuwa amalize gemu ila aliremba.
Aj anabebwa na media, pia ukame wa bondia halisi wa uzito wa juu media inalazimisha Aj awe bonge la boxer ila hamna kîtu.
The critical comments seem justified to balance the over the top acclaim the commentators are giving to AJ's performance.
This was not a real fight that people wanted to see but a tactical swerving of fighting to gain belts back. Jab and run aren't fighting guys.
How can AJ call himself the heavyweight champion by running away for 12 rounds? If you're a true heavyweight champion, you don't do it by running away. You stand and fight! You show the world what you're made of.
Ruiz was right to beckon him at the end. It's like he turned up to a 100m sprint with a beer belly and a snickers bar.
But fair play to AJ, the only way he could beat Ruiz was sticking to the game plan of running and dancing away like a chicken relying on his jab and superior reach.
Angalia pambano kwenye YouTube utawaona MkuuHe watanzania?
Akina nani hao
Hii mbinu akitumia kwa Wilder haitafanya kazi.
Wote warefu kwa hiyo ni rahisi ngumi ya Wilder kufika , halafu kingine Wilder kukuvaa haoni hasara.
Hapa ndio nakumbuka maneno ya Tyson Fury akimzungumzia AJ, nanukuu, " AJ is not a boxer, he is just a body builder," AJ hana skills zozote za boxing zaidi ya kushinda kijanja janja
Unasema?[emoji1][emoji1]Sasa mkuu huyo Fury anajua boxer gani na yeye si janja tu anakumbatia na kukimbiakimbia..uliangalia pambano lake na fury au Klistchko..yeye huwa anategemea kushinda point tu hanaga skilss zozote.