Antony Mtaka awataka Ma - DC Wapya kuepuka balehe ya Madaraka

Antony Mtaka awataka Ma - DC Wapya kuepuka balehe ya Madaraka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma.

Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya wasitumie madaraka yao vibaya

Chanzo : Mwananchi

Don_Mbowe_on_Instagram:_“Mkuu_wa_Mkoa_wa_Dodoma,__Anthony_Mtaka_amewataka_wakuu_wa_wilaya_wapy...jpg
 
Ametoa angalizo zuri sana, japo angalizo kama hili lingependeza zaidi kama lingetolewa awamu iliyopita, awamu ile ndio ilikuwa na wengi walio balehe.
Sisi kwa kinyakyusa tunaita 'Herding behaviour an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of panic or fear of their leaders (amygdala ) a.k.a unyumbu

The amygdala is a collection of cells near the base of the brain. There are two, one in each hemisphere or side of the brain. This is where emotions are given meaning, remembered, and attached to associations and responses to them (emotional memories). The amygdala is considered to be part of the brain's limbic system.22 Apr 2019
Amygdala Hijack: What It Is, Why It Happens & How to Make It Stop
 
Sisi kwa kinyakyusa tunaita 'Herding behaviour an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of panic or fear of their leaders (amdygala) a.k.a unyumbu
Amdygala ndio kinyakyusa chenyewe au?
 
Ametoa angalizo zuri sana, japo angalizo kama hili lingependeza zaidi kama lingetolewa awamu iliyopita, awamu ile ndio ilikuwa na wengi walio balehe.
Katika uongozi wake Anthony Mtaka kule Simiyu kuna makada wa chama mamia wako gerezani kwa kesi za kubambikwa hasa wakati wa uchaguzi je nayeye alikuwa yuko kwenye balehe ya madaraka ?
 
Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma.

Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya wasitumie madaraka yao vibaya

Chanzo : Mwananchi

View attachment 1826718
Ile picha ya nick wa pili na yule mlimbwende jana. Ina akisi haya! Hakuna kipya hapo
 
Back
Top Bottom