Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.

Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
 
Huu wimbo ameutunga nani?
 
Acha kuwafundisha watu kazi
 
Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.

Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
Nakazia📌🔨
 
Kuna watu ndio wamezaliwaga hivyo kamwe hawawezi unafki na vaisi versa pia!!Mtaka bonge moja la Kiongozi lakini si Kwa mifumo ya nchi nyingi za Afrika kama si zote pia!!
 
Kweli kabisa mfano alipokuwa Dodoma alipanga kumaliza mgogoro wa Ardhi Nkuhungu broad acre Kwa watu kuionyesha hati miliki ili Mvamizi ajulikane lakini Viongozi walafi walarushwa wapendwa Majungu waishio kwarushwa walimpiga fitina kuwa anaenda kuuwa chama

Sasa mambo yamekuwa magumu wanakumbuka ushauri wake
 
Mtaka ni BBM, Bongo Bahati Mbaya. Ni kweli uwezo anao na maono anayo, ila kazaliwa kwenye nchi yenye uongozi wenye roho mbaya na uwezo mdogo wa kufikiri.

Huu ndio ukweli.
 
Welcome to reality, na kama huamini angalia tu ofice nyingi, if you are smart unakuwa threat . Hawakuoni kama asset
Ziko ofisi chache zitakuchukulia kama asset.
Logic behind mabos hawataki kuonekana hawajui kazi. Hiki kitu kipo hadi ngazi za juu
Upo sahihi...!!!
 
Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.

Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
Anamudu nini?
 
Welcome to reality, na kama huamini angalia tu ofice nyingi, if you are smart unakuwa threat . Hawakuoni kama asset
Ziko ofisi chache zitakuchukulia kama asset.
Logic behind mabos hawataki kuonekana hawajui kazi. Hiki kitu kipo hadi ngazi za juu
Never outshine your master mzee
 
Mtaka yupo vizuri shida yupo kwenye lichama la majizi
 
Back
Top Bottom