Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??

1635513563113.png

1635513598975.png
 
Habari zenu, nipo namuhangaikia dogo hapa hizi ajira lakini naona hakuna sehemu iliyowekwa anwani ya tra au takukuru za kuweka kwenye barua ya kuombea kazi, je ni ipi itumike??
Fafanua tafadhali,mimi sijakuelewa kabisa.
 
TRA una apply Ajira Portal online sidhani kama wanapokea barua kupitia Postal Box

PCCB pia walitoa link inakudirect kwenda kwenye portal nadhani na wao pia hawapokei barua kupitia sanduku la posto

Ni mabadiliko ya kimfumo nadhani kuhakikisha tunatunza mazingira ...hayo makaratasi yanasababisha miti kukatwa sana 🙂
 
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??

1635513630456.png

1635513269262.png
 
Mkurugenzi mkuu,
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa,
Mtaa wa Jamhuri,
S.L.P 1291,
41101 DODOMA
 
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??

TRA tumia

Commissioner General
28 Edward Sokoine Drive,
11105 Mchafukoge,
Ilala CBD,
P.O.Box 11491
Dar es salaam, Tanzania

PCCB tumia

Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
P.O.BOX 1175
Dodoma
Tanzania
 
View attachment 1990936
Address kwa katibu ofisi ya rais sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma, s.l.p 2320, Utumishi building & Dr. Asha Rose Migiro Building, Dodoma.
 
TRA tumia

Commissioner General
28 Edward Sokoine Drive,
11105 Mchafukoge,
Ilala CBD,
P.O.Box 11491
Dar es salaam, Tanzania

PCCB tumia

Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
P.O.BOX 1175
Dodoma
Tanzania
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??
 
Address kwa katibu ofisi ya rais sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma, s.l.p 2320, Utumishi building & Dr. Asha Rose Migiro Building, Dodoma.
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??
 
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??

Mkuu tangazo la TRA unalo...? Kama unalo basi hauko making kiasi flani.

Ukitazama kwa makini kwenye hilo tangazo chini kabisa wameweka anuani ya kutumia aisee.

KILA LA HERI.
 
Mkuu,ukisoma maelezo pale ajira portal Kuna address ya kutumia...pia barua ukishaiandika hauipigi picha ila unaiandika,unasain Kisha unaiscan na unaiapload panapohitajika....NB haitumii postal address ya TRA ila unatumia hiyohiyo ya utumishi...Kila la kheri[emoji4]
 
Mme apply zaidi ya elfu 20 hadi leo hii. Anyway sija sema kitu

SUBIRI KIDOGO
 
Mkuu,ukisoma maelezo pale ajira portal Kuna address ya kutumia...pia barua ukishaiandika hauipigi picha ila unaiandika,unasain Kisha unaiscan na unaiapload panapohitajika....NB haitumii postal address ya TRA ila unatumia hiyohiyo ya utumishi...Kila la kheri[emoji4]
Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.
 
Barua zote za maombi ya kazi kupitia ajira portal zinaelekezwa huku

Secretary,
President's Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P.O.BOX 2320,
Dodoma.
 
Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.
Nyingine zinahitaji uandike kwa mkono. Kwahiyo lazima upitie hizo process alizoelezea jamaa.
 
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??

View attachment 1990942

View attachment 1990945

Barua ya kuomba kazi TRA unamwandikia karibu wa sekretarieti ya ajira . Na sio TRA
Tafuta box lake
PCCB ndio unawaandikia wenyewe
 
Back
Top Bottom