sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Fafanua tafadhali,mimi sijakuelewa kabisa.Habari zenu, nipo namuhangaikia dogo hapa hizi ajira lakini naona hakuna sehemu iliyowekwa anwani ya tra au takukuru za kuweka kwenye barua ya kuombea kazi, je ni ipi itumike??
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??Fafanua tafadhali,mimi sijakuelewa kabisa.
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??TRA una apply Ajira Portal online sidhani kama wanapokea barua kupitia Postal Box
PCCB pia walitoa link inakudirect kwenda kwenye portal nadhani na wao pia hawapokei barua kupitia sanduku la posto
Ni mabadiliko ya kimfumo nadhani kuhakikisha tunatunza mazingira ...hayo makaratasi yanasababisha miti kukatwa sana 🙂
Mkurugenzi mkuu,Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Address kwa katibu ofisi ya rais sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma, s.l.p 2320, Utumishi building & Dr. Asha Rose Migiro Building, Dodoma.Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
View attachment 1990936
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??TRA tumia
Commissioner General
28 Edward Sokoine Drive,
11105 Mchafukoge,
Ilala CBD,
P.O.Box 11491
Dar es salaam, Tanzania
PCCB tumia
Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
P.O.BOX 1175
Dodoma
Tanzania
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??Address kwa katibu ofisi ya rais sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma, s.l.p 2320, Utumishi building & Dr. Asha Rose Migiro Building, Dodoma.
Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??
Mkuu...sio wote wanaopply huwa wanafika...na pia..mchujo upo Sana tu...wingi wa watu sio Jambo la kumkatisha mtu tamaa.Mme apply zaidi ya elfu 20 hadi leo hii. Anyway sija sema kitu
SUBIRI KIDOGO
Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.Mkuu,ukisoma maelezo pale ajira portal Kuna address ya kutumia...pia barua ukishaiandika hauipigi picha ila unaiandika,unasain Kisha unaiscan na unaiapload panapohitajika....NB haitumii postal address ya TRA ila unatumia hiyohiyo ya utumishi...Kila la kheri[emoji4]
Nyingine zinahitaji uandike kwa mkono. Kwahiyo lazima upitie hizo process alizoelezea jamaa.Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
View attachment 1990942
View attachment 1990945