ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Mkuu ufafanuzi kidogo hapa, baada ya kuipeleka kwenye pdf ni application gani unatumia ili uweze ku sign bila printing. Nisaidie kama hutajali tafadhali.Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.
Hiyohiyo ya Office, ni ya Microsoft.Mkuu ufafanuzi kidogo hapa, baada ya kuipeleka kwenye pdf ni application gani unatumia ili uweze ku sign bila printing. Nisaidie kama hutajali tafadhali.
Daa pengine mimi ndio sielewi, hivi unaweza sign ikiwa kwenye word before ku convert kwenda pdf?Hiyohiyo ya Office, ni ya Microsoft.
Convert kwenda PDF ndio uisaini. Hiyo app unayo?.Daa pengine mimi ndio sielewi, hivi unaweza sign ikiwa kwenye word before ku convert kwenda pdf?
Hiyo app ndio bado sijaijua inaitwaje, hapo kwenye ku convert hakuna shida.Convert kwenda PDF ndio uisaini. Hiyo app unayo?.
Address ya Takukuru ambayo ni Dodoma na TRA inabidi u address na kuanza president's office ..............P.O Box 2320 Dodoma usipoandika hivo na ku sign na ku scan barua na hizo anuani hutaitwa interviewKuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Hizi anuani ni wrong akiandika hataitwa interview sikuhizi kila jambo ni dodoma mzeeTRA tumia
Commissioner General
28 Edward Sokoine Drive,
11105 Mchafukoge,
Ilala CBD,
P.O.Box 11491
Dar es salaam, Tanzania
PCCB tumia
Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
P.O.BOX 1175
Dodoma
Tanzania
Cover letterHaya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??
Inaitwa Office, icheki playstore.Hiyo app ndio bado sijaijua inaitwaje, hapo kwenye ku convert hakuna shida.
Alafu hayo matangazo yote chini kabisa kuna address sijui inakuaje hajaona.Hizi anuani ni wrong akiandika hataitwa interview sikuhizi kila jambo ni dodoma mzee
Shukrani chief.Inaitwa Office, icheki playstore.
Yani anashangaza aongeze umakini ukikosea hapo juu, hauitwi interviewAlafu hayo matangazo yote chini kabisa kuna address sijui inakuaje hajaona.
Daa ndio hivyo aisee wenge si unajua mtaa akili zimesha choka.Yani anashangaza aongeze umakini ukikosea hapo juu, hauitwi interview
Una kichwa kizito sana.Haya maelezo wamesema tuyatumie wapi katika tangazo la ajira??
Anuani ipo kwenye tangazo.Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Ndugu, barua za TAKUKURU imeelekezwa ziandikwe kwa mkono, sorry for the late convenient reply!Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
View attachment 1990942
View attachment 1990945
Braza hapo kwenye kifungu namba 2.1 Academic Qualification naomba unisaidie kutafsiri, hiv ni lazima mtu awe na cheti cha secondary na astashahada au diploma au cheti tu cha sekondari kinatosha maana mimi nina cheti cha form four na six tu sasa sijui kama nakidhi vigezoMme apply zaidi ya elfu 20 hadi leo hii. Anyway sija sema kitu
SUBIRI KIDOGO
Tumia Icho cha form 6Braza hapo kwenye kifungu namba 2.1 Academic Qualification naomba unisaidie kutafsiri, hiv ni lazima mtu awe na cheti cha secondary na astashahada au diploma au cheti tu cha sekondari kinatosha maana mimi nina cheti cha form four na six tu sasa sijui kama nakidhi vigezoView attachment 2001567
Najaza kila kitu ila wanasema niongeze na vingineTumia Icho cha form 6