Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #21
nimetoa msisitizo hapo chini kama jambo hawalijui wasilete ujuaji wakae watulie wachambuzi walete ushahidi sio mihemko,.Hii sio poa kabisa, ruhusu kila mtu amwage madini bhana....acha jukwaa libaki huru.
unazidi nichanganya Aisee baba wa mbinguni ndie nani?Ukitaka kujua zaidi tafuta maelezo aliyotupa Yesu kumhusu huyu -Baba yetu aliye mbinguni.
Binafsi sipendi kukutajia jina lolote, kama ndicho unachokitaka - Sitataja.Unakwepa swali eee nakuuliza huyo Mungu wa kweli anaitwa nani na unamtambuaje?
Ni mwendo wa vyeo tu, labda na baadhi ya sifa tulizojaaliwa kuzi'ngamua ntajitahidi ila jina nnaona kama ni ubinafsishaji fulani hiviunazidi nichanganya Aisee baba wa mbinguni ndie nani?
ubinafsishaji Kivipi wakati Kila Religion believer wanajua Jina la Miungu Yao?Ni mwendo wa vyeo tu, labda na baadhi ya sifa tulizojaaliwa kuzi'ngamua ntajitahidi ila jina nnaona kama ni ubinafsishaji fulani hivi
Ndiyo, kila religion wanampa jina Mungu na kumfanya kama wa kwao ndiyo huyo mkuu kuliko wote. Lakini Mungu ni mmoja na religion zote wanamtumikia huyo. Utaona kuwa tukimuacha tu katika cheo chake kuwa ni mungu hatutapingana sana ila tukimpa majina binafsi ndo tabu inaanza. Inafikia wakati kabila au nchi tu inajiamulia kwamba Mungu ni wa kwao, ni wa babu zao jambo ambalo sio jema. Yaani awaumbe wote halafu nyie tu mmmiliki binafsi.?ubinafsishaji Kivipi wakati Kila Religion believer wanajua Jina la Miungu Yao?
unaweza ukanipa uthibitisho Juu ya Uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo,ila Hana jina?Ndiyo, kila religion wanampa jina Mungu na kumfanya kama wa kwao ndiyo huyo mkuu kuliko wote. Lakini Mungu ni mmoja na religion zote wanamtumikia huyo. Utaona kuwa tukimuacha tu katika cheo chake kuwa ni mungu hatutapingana sana ila tukimpa majina binafsi ndo tabu inaanza. Inafikia wakati kabila au nchi tu inajiamulia kwamba Mungu ni wa kwao, ni wa babu zao jambo ambalo sio jema. Yaani awaumbe wote halafu nyie tu mmmiliki binafsi.?
Hii kitu haijawahi ingia akili mwangu! Ni somo ambalo halieleweki tofauti na Mungu wa kwenye Biblia, huyu Annunaki haeleweki! Mara mnasema anakuja kufanya utafuti najiuliza utafiti gani??? Mungu ndiye muumba wa vyote na anajua yote bila shaka anapaswa kujua ilipo shehena ya dhahabu lakini huyu hajui lolote kutwa kucha kiguuguu na njia anafanya utafiti toka sayari moja kwenda nyingine eti anasaka shehena ya dhahabu, kweli?Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake,
Natumaini wale magreat thinkers watashashare idea zao kutoka vyanzo mbali mbali na natamani mjadala uwe endelevu na wale wenye watakaoweza kuweka rejea kutoka source mbali mbali wawe huru Ili mjadala uwe mpana kidogo hivyo uvumilivu unahitajika,
Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,
Karibu!
Dunia ya kale ilipata kupitia katika ustaarabu mkubwa sana ambao Mpaka Leo unaacha utata mkubwa pamoja na fumbo kuu,
Wanasayansi,watu wa Dini,wanafalsa na wachunguzi huru wamejikuta kwenye sintofahamu juu ya ustaarabu ule uliopotea Huku wakibaki kwenye nadharia nyingi toka Hapo zamani,
Ushahidi kutoka maandiko ya kale ya Sumeria yaliyokutwa katika tablets za Mawe na michoro mbali mbali katika jamii nyingi za kale zimewataja viumbe walioitwa 'miungu'
"Miungu" au 'gods' tafsiri yake ikiwa na maana ya walioshuka kutoka 'mbinguni' au angani na Kushuka duniani,
Nadharia ya Miungu Katika Sumeria imewataja "ANUNNAKI"
Au Wana wa Annak
ANU =mtawala wa mbinguni na baba wa waanak na KI mother goddes mtawala wa Dunia,
Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
Mtafiti wa mambo kale Zachariah Sitchin miaka ya 70's aliweza kutafsiri baadhi ya maandiko ya kale ya Wasumeria yanayodai Annunaki walipata Kuja pre human development yaani akiwa na maana Dunia ikikaliwa spicies ya Homo Elactus pekee,
Pia maandiko ya kale ya Sumeria yanadai Annunaki walitokea Sayari ya Nibiru ambayo huizunguka mfumo wetu wa Nyota ikiwa kwenye mhimili wake Kila baada ya miaka 3,600
Na maandiko hayo ya kale yanapata kuandika Annunaki ni intelligence being wenye high advanced science and technology na walipata kuja Duniani na Spaceships kwa lengo la kuchimba Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Yao ambayo waliitumia kurecover atmosphere ya anga lao,
Note hiyo ni according to Accient writings alizotafsiri Zachariah Sitchin,wanasayansi na Watafiti wa mambo kale kama Jesus Cediel,
Swali Wana jamii intelligence Inakuaje tablets kongwe na ya kale kuliko maandiko yoyote Yale yaani Sumerian iandike mambo kama hayo?
Fumbo!
Nitaendelea na mada karibuni Kwa mjadala!
ALALU:Mtangulizi wa mwanzo wa Annunaki
Katika accient tablets anatajwa Alalu huyu alikua ni agent kutoka Sayari ya Nibiru aliyepewa jukumu la kuzunguka Sayari mbali mbali kuangalia uwezekano wa kuwepo Kwa dhahabu,Alalu alifanikiwa kuifikia Dunia yapata miaka 450,000 BCE na kufanya tafiti mbali mbali Katika accient tablets anatajwa kama 'mungu' wa ugunduzi,Alalu alipata kutua Kush na akagundua hazina kubwa ya dhahabu,ugunduzi wa machimbo ya kale ya kush unathibitisha kugundulika Kwa dhahabu Kwa mara ya kwanza Katika uso wa Dunia ukifuatiwa ule wa South Africa na Maputo Msumbiji ambako miaka ya Hivi karibuni kuligundulika machimbo ya kale sana yalichimbwa Kwa ustadi Kwa kutumia vifaa vya kisasa unaoshangaza Dunia ya Leo,
Baada ya tafiti za Alalu walifuatia Wana wa Annak ENKI na ENLIL ambao walishuka na Spaceships s kubwa Wakiongozana na moja ya jamii ya Waanunaki waitwao IGIGI ambao waliotumika kama workers kwenye Migodi yote iliyoanzishwa huku wakiongozwa na ENKI na ENLIL kama viongozi,
Maandiko ya Sumeria yanadai baadae IGIGI walichoka kufanyishwa Kazi za machimbo ya dhahabu sababu ya brutality kitu kilichopelekea vita kubwa na ya kwanza Katika uso wa Dunia ikihusisha advanced weapons kama Nuclear weapons,
Baada ya resistance ya IGIGI
ENKI alikuja na Wazo la kumfanya Kiumbe awe replaced ndipo wakawafanya Nephilims (Wanefili) Hawa walikua ni Viumbe wenye mfanano na Annunak ila wakubwa na wenye nguvu,wakitumia Hybrid Nephilims walishindwa zaliana hivyo kuwapa mzigo ENKI kuwazalisha Kwa wingi kulingana na mahitaji na Kasi ya Kazi Katika Migodi maana walishindwa kuendana na Kasi sababu ya ukubwa na uzito wa miili Yao,
WAZO LA KUMFANYA BINADAMU,
Annunak Chronicles inaelezea mwanzo Dunia ilikaliwa na Viumbe waitwao Enkidu Katika Epic of Girgamesh wanamtaja Kiumbe Mtu Enkidu ambaye alikua spicies ya Homo Elactus walioishi duniani wakiwa hawana humanity waliishi pamoja na wanyama wa mwituni kama hayawani wengine,.
Enki alifikiria ni jinsi Gani atawafanya wale Enkidu wawe intelligence na akaja na Wazo la kuwaongezea vinasaba milini mwao Kwa kufanya DNA testing na walifanikiwa kufanya genre ya Homo sapiens wa kwanza,
Pia Maandiko ya Sumeria yanadai Annunaki walifanya human manipulation na cloning project na kumtengeneza mtu wa kwanza
ADAPA (Adamu)
Wakitumia DNA zao,manii na kupandikiza Kwa Kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika
(Sumeria tablets zinaelezea teknolojia ya Human cloning,human manipulation na sayansi nyinginezo kukamilisha Hilo)
Kwanini wamuumbe mtu Kwa mfano wao?
Ukisoma kitabu Cha Genesis kinadai Mungu alisema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu
(Wale wa nadhari za Abrahamic Religion wajiulize ilikuaje Mungu aseme na tumfanye mtu Kwa mfano wetu)
Hiyo wetu inawakilisha uwingi ikiwa na maana ya "Gods"
(Walioshuka kutoka juu mbinguni na kuja Duniani)
Nadhani watu wengi sana mnachanganya mambo kutokana na uelewa finyu,Hivi kati ya Mungu wa kwenye BIBLIA na Annunak wa kwenye maandishi ya Sumeria nani mkongwe?Hii kitu haijawahi ingia akili mwangu! Ni somo ambalo halieleweki tofauti na Mungu wa kwenye Biblia, huyu Annunaki haeleweki! Mara mnasema anakuja kufanya utafuti najiuliza utafiti gani??? Mungu ndiye muumba wa vyote na anajua yote bila shaka anapaswa kujua ilipo shehena ya dhahabu lakini huyu hajui lolote kutwa kucha kiguuguu na njia anafanya utafiti toka sayari moja kwenda nyingine eti anasaka shehena ya dhahabu, kweli??? Haya, yataletwa na maelezo lukuki mwisho wa siku mnasema mtangulizi wa Annunaki alikuwa alalu halafu nashtuka he... Kumbe Annunaki siyo mwanzilishi? Kumbe kuna watangulizi tena? Mmmh inafikirisha sana! Hapana, nadhani shetani anataka kutupiga na kitu kizito usoni! Shitukeni, hawa siyo Mungu! Tuungane, tumkatae🤣🤣🤣 atatuchonganisha na Mungu wetu! Maelezo yake ni lugha gongana sijapata kuona aiseee!
Dumas the terrible:kwa hiyo wewe binafsi unajua au unaamini nini na baada ya Kifo chako nini kitafuata?Nadhani watu wengi sana mnachanganya mambo kutokana na uelewa finyu,Hivi kati ya Mungu wa kwenye BIBLIA na Annunak wa kwenye maandishi ya Sumeria nani mkongwe?
Sumeria Deities yaani Enki na Enlil ni wakongwe kuliko huyo Mungu wa Abrahamic Religion na usichokijua hata mwanzilishi wa hiyo Imani aliwaabudu hao hao ANUNAK Hivi Kwa ufahamu wako unadhani Biblia inamtaja Mungu Gani kama Sio Elohim/YWH mmoja wa miungu Annunaki Katika Mesopotamia aliyeabudiwa na Abraham aliyetokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako ndio nadharia ya Miungu ilianza!
Halafu kingine rejea maana ya neno 'Mungu' nimelifafanua kule Juu maana yake likiwa kama cheo sio jina la kiumbe yeyote unayemfikiria kwenye kichwa chako maana huyo Mungu hayupo na Hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake!
Ilipanza vizuri sasa unaanza kuunyea Uzi wako.... Ukishaleta mambo ya Mungu Mungu na ukahusanisha na Imani za watu ...ushalinyera.... Ungebaki kwenye historia yako tu.Mungu wa kweli ni nani?
Kumbuka Mungu Sio jina ni cheo haya nambie Mungu unaemdai ni WA ukweli ni Mungu Gani?
Sidhani kama ni jambo sahihi kuutafuta uthibitisho kwa maana ya kithibiti. Ila kulikaribia hilo lengo labda kuna uthibitisho wa uhalali wa wazo la Mungu. Ulifanyika kwa analojia ya kibailojia;unaweza ukanipa uthibitisho Juu ya Uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo,ila Hana jina
ukiwa ni mwenye akili timamu huwezi watenganisha accient Sumerian na dhana za Mungu na miungu hebu Soma kichwa Cha mada acha kukurupuka,Ilipanza vizuri sasa unaanza kuunyea Uzi wako.... Ukishaleta mambo ya Mungu Mungu na ukahusanisha na Imani za watu ...ushalinyera.... Ungebaki kwenye historia yako tu.
Mimi siamini Katika kitu chochote ndugu!Dumas the terrible:kwa hiyo wewe binafsi unajua au unaamini nini na baada ya Kifo chako nini kitafuata?
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mbona unaamin anunakMimi siamini Katika kitu chochote ndugu!
Daaaa aisee kazi ipo Annunaki sio Imani ni jamii ya viumbe kutoka Sayari ya Nibiru au Nephilims 12th Planet walioitembelea Dunia miaka zaidi ya 350,000 BCE Kwa ajili ya kuutafuta dhahabu na ndio walianzisha ustaarabu wa Mwanzo kama kujenga Pyramids,kuchimba Dhahabu na madini mbali mbali,pia walifanya mambo mengi Sana Katika accient worldMbona unaamin anunak