ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Ni kweli Mkuu Sayansi na teknolojia zote uzionazo Leo ni marudio ya Kazi ya ANUNAK Katika accient world,ndio maana Kwenye kichwa Cha mada nimesema
'kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena'

Civilization ya kale ilianguka baada ya waanunaki kuondoka duniani,Leo Ile civilization iliyoanguka imeanza kurejea Kwa Kasi kubwa,

Pia kuhusu Elon musk ni kweli aliyoongea kuhusu accient civilization na teknolojia ya Leo,
Hata Nikola Tesla alibuni Umeme wa AC Kwa kutumia accient formula za Annunak hasa akibase kwenye mfumo wa Pyramid za Giza,
Pyramids hapo kale zilitumika kama Plasma generators na ndio zile formula za mule zilimuwezesha kufanya majaribio ya Umeme wa mionzi yaani Radiation ambao utakua wireless
( Umeme unaosafiri kama mawimbi kama ya redio au ving'amuzi)

Plasma generators ilitumika kuendesha mitambo hapo kale Dunia nzima katika migodi ya Annunaki na miji mingi ya kale Bila kutegemea mfumo wa nyaya kama ilivyo Leo
Hiyo ndio high advanced science and technology!
 
unataka Ligue Sasa hebu Soma kule Juu maana ya Neno 'Mungu' Ankori unakwama wapiiiii?
 
Rejea swali la uncle virus then unganisha na swali langu hapo juu nililouliza mwanzo hapa naona umetoa majibu nusu.

Uncle virus kauliza hivi unajua tofauti ya creation na cloning?

Mimi sasa:Anunnak walipokuja hapa earth planet walikuta kuna watu/binadamu,pamoja na viumbe wengine kama samaki baharini na kwenye maziwa na mito,nyoka ardhini,ndege angani,wadudu(all types of insects) mimea,
Nikakuambia refer biological studies(zoology and botany)
Jibu lako umejibu waliwakuta primitive homos kama sijakoseaa wao wakawaongezea uwezo ndio akapatikana watu/binadamu.
Sasa vipi kuhusu hivyo viumbe vingine vilitokana na nini? Na vimekutwa na uhai akiwepo hao primitive homos na manyoya yao huku wakiwa ni mahayawani tu,lakini je vipi kuhusu hapo viumbe wengine wakiwemo Wanyama wa kufugwa na wa porini na ndege warukao angani?

Nani aliviumba hivyo viumbe vingine au source yake ni nini?
Alafu nilikugusia kuhusu nadharia ya watu na binadamu,katika hiyo nadharia inasemekana kuwa watu ndio originals wa hapa on planet earth na binaadamu ndio hao cloned human beings ,je dhana hiyo ni miongoni mwa masimulizi na magunduzi ya Mesopotamia?
Kwa msingi wa hiyo dhana ni kuwa mpaka sasa hivi miongoni mwetu inasemekana kuna watu na binaadamu,tena wanaenda mbele zaidi kuwa watu ni hawa wa bara la Africa kwa maana ya Africans/black people na cloned human beings ndio hao white people kutoka mabara mengine yaliyo salia.


Ebu tujuze tupatie habari tuelimike ili tuunganishe dots.
Kwa maana haya mambo haya....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri!
Hahahahah kwamba unaona sijui au sio sio Siri Ankori unataka Ligue
Haya ngoja nikupe ufafanuzi
Annunak walifanya human manipulation na human cloning

Kitabu Cha Mwanzo kinasema Mungu alisema (Mungu - Master of High Chamber)
"Na tumfanye mtu Kwa mfano wetu"

Katika accient tablets za Accient Sumerian ENKI na ENLIL ndio "Miungu" ikiwa na maana ya sons of master of high chamber
ANU from
Nibiru/Nephilim 12th Planet (Mbinguni)
Hawa ndio walikua miungu waliomfanya mtu Kwa mfano wao walitumia formula za human manipulation na cloning

Kipi kigumu Ankori
Haya maandiko ni according to Summerians tablets ambazo ni kongwe kuliko Biblia Yako
Eboooo!
 
Nikusahihishe hamna mwanasayansi anayewaza kuwa dunia imefumwa au viumbe hai wameumbwa
 
Miaka uliyotaja binadamu bado alikua hajatoka Afrika yani hadithi yako ni ya uongo uongo
 
Mkuu Mimi mara nyingi humu ndio niliyekua natoa nadharia za Mtu na binadamu Kuna nadharia mbali mbali ambazo Bado hazijakaa sawa na Sina uhakika nazo ila sababu ya kimazingira ndio zinakubalika mfano
Inadaiwa Annunaki waliwakuta genre ya Homo Elactus ambao ndio walikua blacks na ndio maana hapo oldupai Gorge Kuna fuvu la Mtu wa kale,kumbuka ni Mtu
(Sio binadamu)

Watafiti wa mambo kale wanadai genre ya Homo Elactus ilifanya mabadiliko ya haraka Sana ndani ya kipindi kifupi kivipi?
Kutoka African Zenjanthropus Mpaka homo habili ilichukua mda mrefu (Katika mabadiliko nadharia za Darwin )

Vile vile kutoka homo habili Mpaka homo Elactus lakini Cha ajabu genre ya Homo Elactus kwenda Homo sapiens Sapiens ilichukua mabadiliko ya ghafla Sana yaani ni kama Kuna kitu kiliingilia mfumo wa mabadiliko kutoka gepu la mamillion ya miaka mpaka gape la miaka elfu tu watu walioishi mapangoni na kuishi Kwa kuwinda wanyama wanaibuka na ustaarabu wa Hali ya juu mno na kupiga hatua za maendeleo Katika science and technology huko wakitumia Hisabati,Physikia na Biolojia ya Hali ya juu sana kutuzidi Leo Hii
Kipi kiliingilia mfumo wetu ghafla hivyo?

Si kingine Bali Annunaki ndio mwanzo wa mabadiliko ya ghafla!
 
Miaka uliyotaja binadamu bado alikua hajatoka Afrika yani hadithi yako ni ya uongo uongo
daaa wewe jamaa umesoama epic of Gilgamesh kabla genre ya Homo Elactus walioishi Afrika kua Homo sapiens Annunaki walikua ndio wanatimba duniani

Mkuu amini kwamba Kuna migodi ya Dhahabu ya kale Ina miaka mingi kuliko historia ya genre ya Homo sapiens haijakuwepo duniani nani alichimba dhahabu zama Hizo Kwa ustadi vile?

Hivi umeyaona machimbo karibu na Maputo msumbiji na Yale yanayofahamika kama ENKI house ya south Africa yanayodaiwa kuchimbwa na Wana wa Annak?
 
Nikusahihishe hamna mwanasayansi anayewaza kuwa dunia imefumwa au viumbe hai wameumbwa
Ankori unakwama Wapi dhana yakuumbwa nimeitumia humu ili hata yule asiyejua maana ya human manipulation na human cloning aelewe aisee ningetumia Lugha ngumu nisingeeleweka
Pia dhana ya Kuumbwa nimeitumia vile vile nipate kueleweka
Pia dhana ya Mungu nimeitolea mfano Kwa ufafanuzi Kwa wasioelewa nikirejea maandiko ya kale ya Sumerian

Ila msimamo Wangu kuhusu Mungu yule wanaotumia watu wa dini ni kwamba hayupo, ni Wa kwenye Hekaya tu na ngano za Wasumeria walioucopy Israelites!
 
Hii sio poa kabisa, ruhusu kila mtu amwage madini bhana....acha jukwaa libaki huru.
tatizo lenu wafia dini mpo less informed, hampendi kutafuta knowledge nje ya mafundisho yenu ya dini. mnaona ni kama kukufuru.

mmelizika na yale tu mnayohubiriwa na wachungaji/mashehe wenu huko kwenye masinagogi.

ndio maana nimeamua kuwa selfish, huwa sipendi ku-share knowledge kama hizi na wafia dini,i just keep it to myself maana najua mtanibishia.
 
tatizo lenu wafia dini mpo less informed, hampendi kutafuta knowledge nje ya mafundisho yenu ya dini. mnaona ni kama kukufuru.

mmelizika na yale tu mnayohubiriwa na wachungaji/mashehe wenu huko kwenye masinagogi.
😁😁😁😁🔥
 
Mkuu anzisha Uzi khs kifo,Kuna utata sn hapa,mchanganyiko wa imani
 
Huyo Anunaki cheo chake hakifanani na cheo cha Mungu, hivyo hawezi kumreplace Mungu.

Anunaki amekaa zaidi kama mfalme - amekuta vitu/watu wapo yeye anafanya kuviongoza hivi na kutengeneza visheria vidogo vidogo
Mungu yeye ameanza kabla ile pointi ya kuvileta/kuvitokelezea kwanza vitu vyenyewe na kuviwekea kanuni za uwepo wake. Kuvipa sababu kusudi la kuumbwa kwake. Muumba
 
Katika ile analojia tutasema; Huo ubongo cheo chake hakifanani na cheo cha mtu

Ubongo umekaa kifalme kuongoza viungo na rasilimali za mwilini. Visheria vidogovidogo kama homoni hii itoke, utembee etc
Mtu anabaki kuwa ameanza pointi ambapo hakuna chochote yeye akaorganize seli zigawanyikeje zijipangepangeje zitokelezee katika mfumo na umbo ulilonalo sasa. Hashikiki ila yupo mwilini pote. Na kuna wakati atauacha mwili, yeye ataondoka na mwili utakufa. Mwili utakufa kwa sababu umekosa lengo la kuwapo kwake. Ulibumbwa ili umtumikie huyo 'mtu wake'.

Sasa huwezi kuja tu kusema 'hakuna mtu kuna ubongo tu" kisa umeona kimaterial kuna wakati kila kiungo kinaonekana kuutumikia huo. Au tusiendelee mbali zaidi nikuulize: Je unakubali kwamba mtu yupo hivyo au hapana?. Nashauri kwa yeyote kabla hujataka kumjua Mungu, anza kwa kujitambua kwanza wewe mwenyewe.
 
Mimi siamini Katika kitu chochote ndugu!
Dumas funga huu Uzi tafadhali! Narudia tena, kama huamini katika kitu chochote yaani hata katika hiki unachokihuburi hapa nakusihi kwa Jina la Yesu delete huu Uzi! Unatulisha vitu ambavyo hata wewe mwenyewe huviamini!!
 
Wafia dini wengi ni wepesi sana kuamini ndiyo wengi wetu tunapigwa na vitu vizito usoni kila siku na hatukomi! Ila hii nadharia yenu wengi tumegoma kuiamini sababu ina maswali mengi yasiyojibika! Uongo uongo na uhuni uhuni mwingiiiiiii🤣🤣🤣
 
Uwe mwelewa Annunaki waliwakuta genre ya Primitive duniani hawakukuta watu Naomba usichanganye mambo ndugu, Wao ndio waliofanya genre ya Homo sapiens wa kwanza na wakamwita Adapa/Adamu Ukiwa na maana aliyetengenezwa duniani na wao
Unapodai Kuna MUNGU kabla ya Annunaki ujue unaleta utata maana kabla Yao hakuna kilikua kinaitwa MUNGU ila wao ndio walioanzisha nadharia za MUNGU huko Mesopotamia wakimtaja master of high chamber huko 12th Planet Nibiru ambaye anaitwa ANU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…