sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ukitanua paja ni dalili ya kutaka kujamba utakamatwa kwa kosa la kutaka kujamba ili kukuzuia usifanye kosa ilo utakamatwa na kuambiwa ulikamatwa kwa kosa la kuonesha viashiria vya kutaka KUTEKELEZA kosa ilo yaani umetikisa mapaja π
ππππ this is polisi mind set of Tanzania je kujamba ni kosa?
Tumewazuia watu wasiamdamane, je kuandamana ni kosa? Je mlijuaje wataandamana,(ohohohoh Mbowe hakulala na mkewe zaidi ya wiki nzima yupo mahotelini hii ni dalili tosha anataka kuandamana, na pia Mh Lema alipanda ndege kutoka Arusha mpaka DSM, na kamai haitoshi Bon yai alikamatwa akigonga mvinyo sinza siku Moja KABLA ya maandamano)ππππππ ππ€£π
Nina andika hapa huku nacheka je kuandamana ni kosa hapana sio kosa kosa ni kukojoa na kujamba wakati wa maandamano.
So tumewazuia wasiamdamane swali ulujuaje yakuwa wataandamana? Jibu ni kuwa sisi polisi tumesomea saikolojia ya kujua wewe mwalimu unakusua kufanya uhalifu Gani na lini yaani kwa ufupi polisi WA Tanzania ni wakina Yesu Mwana wa Mungu.
NAULIZA polisi WA Tanzania mwajua yakuwa nyinyi na sisi TU kitu kimoja?yaani tulisoma pamoja na tukawaburuza darasani? Iweje mwajiona manabiii?
Good morning Tanzania kichwa Cha habari na habari YENYEwe ni Moshi na kuni