nachojua kuhusu nice 1 inasambazwa na TANZANIA BORDER LTD ambao pia hujulikana kama Good One ambao wanasambaza bidhaaa toka china hawa jamaa wana brachi nyingine kenya,nimewahi tumia baadhi ya sabuni kutoka kwao ni nzuri kwa mtazamo wangu.hawa jamaaa wanapatikana temeke na wana maduka mengi mengi tu yanayouza bidhaa mbalimbali hususan za ujenzi