R Richardbr Senior Member Joined May 29, 2011 Posts 110 Reaction score 25 Nov 18, 2014 #1 Heshima kwenu wadau, Natafuta mawasiliano na wahusika wa hii shule hasa ya sim au email nayahitaji kwa haraka ama kwa unae jua ada yao kwa mwaka kwa form one basi itakua vema ukinifahamisha.
Heshima kwenu wadau, Natafuta mawasiliano na wahusika wa hii shule hasa ya sim au email nayahitaji kwa haraka ama kwa unae jua ada yao kwa mwaka kwa form one basi itakua vema ukinifahamisha.