Nina suala ninataka lisimamiwe na Mwanasheria katika Mahakama ya wilaya ya Kilombero iliyoko pale Ifakara. Kama kuna Advocate yeyote anayefanya/practicing kazi katika ama wilaya hiyo au Mahakama hiyo, tafadhari naomba tuwasiliane pm.