anybody hayupo,akija atakushauri!
Kuwa na yule ambaye anakupenda zaidi, anakuthamini zaidi, anakuheshimu zaidi
anakuappreciate zaidi
anakutunza zaidi na anayekukuna zaidi!
Huu ni wakati mgumu kuliko nyakati zote nilizowahi kupitia katika maisha yangu....nashindwa kufanya choice who is the right man to marry, nahisi kosa dogo litaninyima raha maisha yote, nahitaji msaada.
na wenyewe wanafanya anadoo kati ya wengi walio nao,ukibaki na mmoja utashangaa baada ya muda nae anasepa!!utabaki na sifuri na hapo ndio utamkimbilia yesu
Wakati wa kujutia ndo huu ulifanya kosa kubwa kuwa na watu wawili kwa pamoja na kuwalaghai kwa penzi la uongo .tegemea utakaposalitiwa baadaye ndo malipo hayo .kazi ya uchaguzi iko mikononi mwako we umekaa nao waweza chambua kati ya magugu na ngano unawafahamu vizuri kuliko unaowapa kazi ya kukuchagulia.tafakari chukua hatua! mwaka 2012 dunia yako ulimwengu wako chagua kupenda chagua kuwa mkweli
MmhWakati wa kujutia ndo huu ulifanya kosa kubwa kuwa na watu wawili kwa pamoja na kuwalaghai kwa penzi la uongo .tegemea utakaposalitiwa baadaye ndo malipo hayo .kazi ya uchaguzi iko mikononi mwako we umekaa nao waweza chambua kati ya magugu na ngano unawafahamu vizuri kuliko unaowapa kazi ya kukuchagulia.tafakari chukua hatua! mwaka 2012 dunia yako ulimwengu wako chagua kupenda chagua kuwa mkweli
Unafufua tu uzi ππMrejesho