Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Baada ya kulipa $2200 US kwenda Dar kutumia British Airways this Summer (2012) na kuishia kulipia $70 in extra baggage fees kwa sanduku la pili wakati wa kuondoka Dar airport na hatimaye kukaa masaa 13 JFK kuanzia saa moja jioni hadi saa 2 asubuhi ili ku-connect na flight hadi RDU Airport, NC, naomba niulize, jee kuna njia gani mbadala zilizo rahisi kwa gharama na zisizohitaji long layover periods (kwa maana ya kusubiri ndege airport) kutoka any major US city to Dar es Salaam?
Emirates nilikuwa nawatumia muda mrefu, lakini bei zao ni stable kila mwaka na haziteremki.
BA ndiyo kama nilivyoeleza hapo juu kama unasafiri kutoka US. Qatar ndege zao huwa zinatuwa saa 9 au saa kumi usiku Dar kutoka Ughaibuni na wakati wa kuondoka ndiyo hivyo hivyo unabidi uamke saa 6 usiku kwenda airport kuwahi check-in, kitu ambacho kinaboa kwa kweli.