Any House to Rent in Mbeya for Business?

Any House to Rent in Mbeya for Business?

Joined
Dec 1, 2008
Posts
24
Reaction score
4
Jamani naomba nisaidiwe kama kuna mtu yeyote anaweza nisaidia nipateje Chumba cha kufanyia
Biashara yoyote ndogo na mpya kwa Mbeya.Si lazima sana iwe City center lakini eneo lililokaribu na barabara
muhimu au iliyo karibu na Institution kama za shule na vyuo itakuwa safi.
Nitashukuru kwa masaada wenu.:smile-big:
 
vyumba viko vingi, ila kuna wakinga huko itabidi umwombe Mungu kwabla ya kuweka biashara, la sivyo utauzia wenzio kila siku. ukifika mbeya, utapata madalali wapo kibao....kuanzia mwanjelwa, soweto hadi sai ukiuliza mtu yeyote wapi madalali anakuonyesha, utawapa kama alfu tatu tu na kupata unachohitaji, hela yako tu.:welcome::welcome:
 
Ubungo Ubungo,

Nikiangalia picha yako unaonekana mtoto, umejuaje ''chuma ulete'' ya wakinga?. Kwa kweli Wakinga hawana hako kamchezo, wenye nako ni wazee wa Pwani jaribu kufungua duka uswahilini (kwa Mtogole, kwa Ali Maua, Kisiwani, Temeke mwisho) uone mambo yanavyokuwa.

Wakinga ni hardworkers, wamewatimua wachaga kariakoo......mpaka Bujumbura wapo bwana
 
nimefanya nao biashara, familia yangu imeoa makete, mimi nimeishi mbeya, iringa, makambako etc, wamewaondoa wachaga na wapemba kariakoo kwasababu wamewashinda uchawi....wengine pale hata kitandani hawalali, wengine wana masharti ya kufa mtu , ila pesa tu wanazo...kule kariakoo kwenye maduka ya mashimoni wamenunua magorofa kibao...wakikuta umeweka kachumba kako wanaomba wanunue ka mamilion na wanatoa zote ....si kwasababu zinatoka kwa shetani?...ni kiboko yao, kama huna Mungu nakushauri usiwachokoze, ulajuta.
 
Haha!Acheni kunichekesha,hawa mimi ni ndugu zangu nimeishi nao na nawakubali sababu mtu Elimu Chini ya Darasa la saba lakini anaweza panda ndege akaenda hata China na akatumia kila njia wasiliana na Mchina na akarudi TZ na kumuuzia vitu hivyo mtu mwenye PhD ya Business...lazima tufanye utafiti wa hawa wenzetu na tujifunze yale mazuri toka kwao.
 
Back
Top Bottom