Iwindi_Mbalizi
Member
- Dec 1, 2008
- 24
- 4
Ubungo Ubungo,
Nikiangalia picha yako unaonekana mtoto, umejuaje ''chuma ulete'' ya wakinga?. Kwa kweli Wakinga hawana hako kamchezo, wenye nako ni wazee wa Pwani jaribu kufungua duka uswahilini (kwa Mtogole, kwa Ali Maua, Kisiwani, Temeke mwisho) uone mambo yanavyokuwa.
Wakinga ni hardworkers, wamewatimua wachaga kariakoo......mpaka Bujumbura wapo bwana