Rudi umaliza shule kwanza. Ushauri wa bure: chagua lugha moja kati ya Kiingereza na Kiswahili. Halafu jifunze na kuijua kwa ufasaha. Kwa ujuzi wako huo wa kuchang'anya lugha mbili ambazo hata hivyo hakuna hata moja unayoimudu siwezi kukupa kazi hata ya kufagia nyumbani kwangu.