Any Kenyan who wants to get Vaccination get it in any of these stations

Huko kwenu mnachanja chanjo ipi? Mordena au Janssen?
Nakwenda na familia yangu yote Jumamosi.....kila mmoja kwangu lazima achanjwe.
 
Huko kwenu mnachanja chanjo ipi? Mordena au Janssen?

Sijajua ipi nitachanjwa ila kuna rafiki wangu amechanjwa Astrazeneca.
Japo niliskia sehemu kwamba ile ya Johnson Johnson itatumika wiki ijayo tena kwa watu wote, maana imedhihirisha uwezo wake dhidi ya Delta na pia haihitaji kuchanjwa mara mbili.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…