N nkaken Member Joined Jan 28, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Feb 17, 2012 #1 Hivi tanapa wanaita watu baada ya muda gani?au ndio mpaka tusahau ndio waanze kuita.?
GODLIVER CHARLE Member Joined Mar 2, 2011 Posts 86 Reaction score 20 Feb 17, 2012 #2 duh!!!!!!!!!!!! yote hayo ni manjaa tuuuuuuuu!!!!!! tusubiri tu ndugu yangu mtanzania kama Mungu kakupa nafasi ni lazima utaitwa tuu... eh?
duh!!!!!!!!!!!! yote hayo ni manjaa tuuuuuuuu!!!!!! tusubiri tu ndugu yangu mtanzania kama Mungu kakupa nafasi ni lazima utaitwa tuu... eh?
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,006 Reaction score 1,255 Feb 17, 2012 #3 Mi nnachojua kuhusu TANAPA ni kuwa SITTING ALLOWANCE zao ni sh 200,000/- na wanakaa kila siku asubuhi kupeana taarifa kabla ya kuanza kazi.
Mi nnachojua kuhusu TANAPA ni kuwa SITTING ALLOWANCE zao ni sh 200,000/- na wanakaa kila siku asubuhi kupeana taarifa kabla ya kuanza kazi.
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,006 Reaction score 1,255 Feb 17, 2012 #4 Na hizo ni tangu long time.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,828 Reaction score 2,637 Feb 18, 2012 #5 Duh mie kuna msg yangu keshaitwa na kishaanza kazi