Any one with idea tutengeneze E car au Hybrid car kabisa karibu kwa maoni

Any one with idea tutengeneze E car au Hybrid car kabisa karibu kwa maoni

Wakuu wa magari habari ya muda huu

Kuna mtu yoyote mwenye idea

Hizi hybrid car ni nzuri Sana fuel consumption, power ya both electric motor na engine ya mafuta

Mfumo wa ufanyaji kazi sio mgumu Sana , kwa e car ..Ni kutafuta motor inayokidhi mahitaji battery mfumo wa kuchaji na discharge protection kisha unaeza dizaini ka gari kadogo tu mithili ya Cha masoud

Au hybrid engine zimejaa ukitaka nunua 1NZ sawa tu yenyewe iwe na sehemu generator inafungwa ifue umeme kwa ajili ya kuchaji battery hivyo unaweza tumia badae au muda huo huo engine inakuwa at costant speed battery ikiwa na chaji route fupi ya chini kilometa 5 ,speed isiozidi 50kph uwe na uwezo wa kutumia motor tu bila engine kuwaka.

View attachment 2576034
Mkuu nfumo wa hybrid umesoma vizuri?
 
Back
Top Bottom