Any translator humu

Goodsize

Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
55
Reaction score
5
Ninatafuta translator wa kuntranslate brochure za English to Swahili. Naomba unijulishe kama wewe ni mmojawapo kwenye fani hii.
Asanteni
 
Yap mimi ni translator na nina uzoefu wa kutosha katika hiyo fani,
 
mimi nawazidi wote hapo juu, kimsingi useme zinahusu nini mana trchnically huwa zinaendana na taaluma husika mf misamiati ya kitabibu n.k
 
Ninatafuta translator wa
kuntranslate brochure za English to Swahili. Naomba unijulishe kama wewe
ni mmojawapo kwenye fani hii.
Asanteni

Next time you need an English/Swahili translator, do not hesitate to email me on: globalcorporatec@gmail.com
 
Nafasiri
aina zote za nyaraka kutoka Kiingereza, kifaransa kwenda kiswahili na Vice Versa.
Pia kwa wale wanaotaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako kwetu na
skeleton outline ya Content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha
unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft
copy yake. Unaweza kuandikiwa vitabu vya Ushauri wa mahusiano kama
mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya,uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za
hospitali au mbadala, Malezi ya watoto, kielimu kwa level ya Nursery
mpaka Secondary, Vya saikolojia, Dini, Riwaya fupi, makala, Story za
uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka kuandika kwa
gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa kiingereza au kiswahili.
Unaweza kukichapa kabisa kwetu kwa gharama nafuu au tukakushauri katika
hilo. Tucheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi
na
kutumiwa samples za kazi zetu endapo utahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…