any update from tra?

any update from tra?

Ms mashaba

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
43
Reaction score
4
wanajamvini, kama kuna mtu ana any update kutoka TRA zile nafasi za accountant assistant. Naomba tufahamishane.:israel::spy:
 
walishawatumia watu barua za kuwataka wa wakubali au lah kuhusu kuchukuwa nafasi hiyo! jaribu kwenda kwenye sanduku la posta lako!
 
Besti ukiona manyoya ujue................ Nawe jiongeze!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom