any updates of nhif and gepf

any updates of nhif and gepf

Joined
Jul 31, 2012
Posts
22
Reaction score
3
habari wanajamii naomba kujuzwa kama kuna mtu anatarifa za interview ya maongezi baada ya zile za kuandika
 
GEPF wameanza kuwapigia simu watu,kuna jamaangu amepigiwa simu jana asubuhi na ameambiwa oral interview itakuwa tar 2 mwezi wa 10,
 
Back
Top Bottom