Anyimwa unyumba...... Kisa: mazoezi

Wajinga ndio waliwao, kama ni mkeo hakikisha unampeleka wewe kwenye sehemu zenye mazingira haratirishi ya ndoa kama hizo, usikubali kumkaribisha shetani kwenye ndoa yako.
 
Mshauri mpwao naye aanze mazoezi kwenye hiyo gym. Tena awe anaongozana na mke kila aendapo gym. Hii nadhani itasaidia japo kidogo kurejesha imani.
 

Mhh hapo kwenye red hapo!!! kwanini isiwe once in a week anatoa penzi??akili kichwani!!
 


Huyo mama hayuko serious! Au walimu wanampunguzia ile adha ya hormone, kula na utu uzima? Maana sielewi logic ya kukataa utakatifu wa ndoa!!
 
SEX ndio ndio exercise nzuri
ya ku loose weight ....

Huyo ana sababu zake zingine binafsi..
na huyu instructor wake hajui kitu ..

Na huyu dada anakubali vipi kudanganywa kiasi hicho..
siangie hata kwenye internet afanye uchunguzi mwenyewe..
kama kweli huyu instructor wake anambia ukweli au la..
 
Huyu dada ana akili za mbayuwayu ,kweli ameshindwa kuchanganya na za kwake ana lake jambo.
 
Hilo la kunyimwa unyumbwa kwa miezi miwili kisa kakatazwa na mwalimu wake ni uongo mtupu. Kwanza kabisa inabidi huyo kijana aangalie siku ya kwanza kumnyima unyumba kulikuwa na mkwaruzano baina yao au la. Kama hapakuwa na kutokuelewana inawezekana huyo trainer anamla huyo mke wake. Kwa nini wasiende wote kwa huyo Trainer na kumuuliza sababu za kumnyima kujamiina na mumewe? Na je huyo trainer anajua huyo dada ameolewa?
 
Mkuu mwambie ampe staili kali wakati wa kupeana unyumba ila zisiwe za kumuumiza nafikiri uzito waweza pungua then amuanzishie mazoezi maalum eg kupasha mwili kila cku jioni,
 

Akasome: Mwanzo (2:24) [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.

Je, huyo mwalimu wa mazoezi ni bora kuliko mume?


[/FONT]
[/FONT]
 
Kama hili tendo la furaha likishaanza kutolewa kwa masharti na kuepana kwa kutimiza wajibu na sio furaha ya watu wawili basi ujue kuna tatizo kubwa..

Issue ni simple mwambie kwamba wote wapate elimu ya ukweli na uongo wa kupunguza uzito kwa kufanya au kutofanya tendo la ndoa (kama ni kweli huyo mwalimu kasema hivyo) huenda akajikuta hana kazi tena, na jamaa yako akapata mke wake tena
 
Atafute nyumba ndogo, mambo yote hayo yataisha. Huwezi kunyimwa unyumba miezi 2 kisa mazoezi. She is not serious
 


uyu vp anamnyima mwenzake kupekecha jaman..ahhmchoyo uyu mi simpend
 
you are too innocent.... huyo instructor anajua kabisa anachofanya, ni jamaa ndio *****
 
Mwambie huyo mpwa wake amwambie huyo Mkewe achague moja kati ya Ndoa na Mazoezi.
 
Atafute nyumba ndogo, mambo yote hayo yataisha. Huwezi kunyimwa unyumba miezi 2 kisa mazoezi. She is not serious
Kudos!
Nilitaka kusema hivo. Ndo solution.
Mwanamke atamshangaa jamaa anakata miezi sita wala hana mpango na kumgusa.
Mwenyewe atakuwa wa kwanza kulalamika.
Something else, ukiwa na nyumba ndogo unazidi kumpenda mkeo japo sio kwa unyumba.
 
Naunga hoja yako mkuu Afro... Kwa kuonzea nashauri huyo mpwa wake aende mazoezi na yeye, the same gym, huko watashauriwa zaidi, teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…