Anyimwa unyumba...... Kisa: mazoezi

Duuu...

Ninachojua, kupiga gemu ni mazoezi tosha kabisa. Unachoma kolestrol + fat nyingi tu!
 


Mhhh! Hii kali Dr! Kumbe kule Gym kuna mambo!!! Nakumbuka kuna Gym moja ambayo nilikuwa nafanya mazoezi wakati zilipoanza kuwa maarufu jijini kuna madada wawili walikuwa wanafanya pale walikuwa ni marafiki wakubwa sana lakini kulikuwa na trainer pale alikuwa anawachanganya wote kama Wapenzi na baadaye wakaja kugundua ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yao kila mmoja akidai yule ni jamaa yake. Wakajenga uadui mkubwa sana mpaka kazi zikawa hazifanyiki kama ilivyokuwa inastahili na hatimaye mwenye Gym akaamua kuwafukuza kazi wote wawili.
 
hawa waalimu wa mazoezi huwa na miili ya kuvutia sana wadada, naona jamaa kisha mkoleza mke wa mpwa wako.
 
hahaha ukute hata hajaambiwa na mwalimu wake hivyo...
kamuona mumewe zuzu kaamua ambambikie huo uzushi hahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…