shy thanks ila ninachouliza ni kama kuna kuna mtu anatarajia kuufanya huu mtihani ili tuexchange material coz namimi natarajia kusit for the same next june, and i have some books so i though some jambo member anaweza kuwa na other type of preparation materials that way tungesaidiana. Got me?
YEs,CD Zipo..Zipo za CBT Nugget CISA Video Trainning and Tutorials.nadhani huwa inauzwa dola $500.You dont need to go to class if you have this CD.nichek katika PM naweza kukusaidia kuipata coz nakumbuka nilishawahi kuiona mwaka jana kwa jamaa yangu mmoja yuko Kampala,