anyone with idea on driving school fee.

muuza ugoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
334
Reaction score
61
ndugu,
pls tell, inacost like how much kusoma drivn skul?
 
Utaje na chuo lakini kama NIT lazima uwe si chini ya 400000 hapo inategemea maana kuna Advanced drivers,Senior
 
Nenda veta pale keko, watakupa form yenye mchanganuo if iam not mistaken ni kama 180,000
 
nenda pale veta dar es salaam. watakupa fomu kwa elfu tatu, watakukatia listi ya serikali. ukisha maliza watakupa formu yenye account yao ya benki uende kulipia kozi. ukishalipia benki unawaletea listi ya banki kuonyesha umelipa. bei za pale zinatofautiana. inategemea na kozi lakini bei ya chini ni kati ya 160000 - 180000tsh. na ukishalipia unapewa tarehe ya kuja kuanza kusoma, inategemeana na kuwahi kwako. lakini ukishalipia itakuchukua si chini ya miezi 2 kuanza masomo. nafasi zinajaa mapema.
 
Mi nimesoma kozi hiyo tanga, ada ni laki mbili na nusu. Ila utapewa elfu kumi kwa ajili ya kukata lena tra, ukihitimu unapewa elfu arobaini kwa ajili ta leseni. Hivyo utagundua laki mbuili ndio ada na efu hamsini ile inarudi kwako.
 
thanx. it means ukilipa u have to wait mpaka miezi kadhaa? huwezi anza immediately? vp kuhusu hv vyuo vya private?
 
it depends na sehemu. uswahilini ni cheaper kwa kweli bt mi wakwangu ni executive, nauza in places kama shoppn malls na hotels. kama elfu 15 per pack.
 
it depends na sehemu. uswahilini ni cheaper kwa kweli bt mi wakwangu ni executive, nauza in places kama shoppn malls na hotels. kama elfu 15 per pack.

ugolo wa uswahilini siku hizi famba, huo wa kwako unaouita executive asili yake ni wapi? wa tabora huwa umeenda shule sana
 
exactly, unatoka kule tbr urambo. a single puff, chafya kibao.
 
Kibongobongo ni kuanzia 180,000 to 250,000. Ila hizi ndiyo hizi za mtaani siyo NIT
 
na vp kuhusu duration na time? coz hua natoka kibaruani sa 12 jioni daily!
 
Wewe ni muuza ugoro au mtumia ugoro? Mbona maswali yako ya nyongeza hayana mashiko.
 
Hi there,

Karibu DKS DRIVING SCHOOL
(The Best Driving school in Dar es salaam)

The fee is Tsh200,000. You can pay the whole amount or by instalment. Payment methods are by Cash, M-pesa, or Tigo Pesa.
Our hours of operation are Monday to Friday, from 7:30am to 5:30pm, Saturday 07:00am to 1:00pm.

Call us for more information


Safe Driving

Phone: 0719 202022, 0769 202022, 0688 202022
Email: dksdrivingschool@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…