Nasikia kale kamjamaa leo kanapata bahati ya kupanda jukwaa 1 na the Icon ni kweli au ????
Ok, kumbe ni jana senkyu vere machi kwa kunifahamisha.Ilikuwa jana jangwani... leo mkali wetu si yupo Italy kama hajafika basi atakuwa anakaribia...
Mara ya mwiusho mwishow,wadau kuvote kwa saaaaaaana,ili kesho tuje kuchukua tuzo etyuu.