Anywa mikojo ya Wanawake nusu lita ili kukata pombe

Anywa mikojo ya Wanawake nusu lita ili kukata pombe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jamaa mmoja nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga mwenye miaka 35, amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila.

Ismail Dholaga ambaye anafanya kazi ya udereva wa pikipiki (bodaboda) alilazimishwa kufanyiwa kitendo hicho na wakazi wa eneo la mji wa Iganga, baada ya kukutwa akiwa amelewa na wapita njia.

Wakazi wa eneo hilo na wapita njia walikusanya mikojo ya wanawake waliokuwepo kwenye tukio, ikapatikana lita moja na nusu, mmoja wa wanawake waliotoa huduma hiyo amesema “Tulifaulu kupata lita moja unusu ya mkojo na kumlazimisha kunywa kama huduma ya kwanza”.

Hata hivyo huduma hiyo haikufanikiwa ndipo maafisa wa polisi walifika na kumkimbiza katika hosptali iliyokuwa karibu.
 
Sasa ulevi wa pomne na mkojo wapi na wpi ikawa dawa , maana mkojo na pombe ni vinakuwa sumu
 
Back
Top Bottom