Anza biashara ya kuprint T-Shirts na vitu vingine kwa Tshs. 1, 700, 000 tu!

chichiboy1

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
1,371
Reaction score
1,856
Habari za majukumu wanajamvi.

Kama uko interested na biashara ya kuprint t-shirts, kofia, vikombe, sahani n.k, njoo nikuuzie Heat press machine ambayo ni 4in1 pamoja na printer EPSON L810 kwa TSHS. 1, 700, 000/= (milioni moja na laki saba).

Pamoja na vitu hivi, nitakupatia baking paper.




 
Nimejaribu kupakia picha lakini imeshindikana, nafikiri ni lwa ajili ya kifaa ninachotumia. Ukihitaji picha nitakutumia WhatsApp
 

Attachments

  • tmp-cam--1111787280.jpg
    107.5 KB · Views: 53
Hii Epson printer inaprint picha (na passport size), CD, business cards n.k. Ni mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…