raman za nyumba Member Joined Aug 4, 2018 Posts 34 Reaction score 20 Dec 1, 2018 #1 Wakati ukiwa umesave pesa mwaka mzima kwa ajili ya ujenzi basi sisi tupo kwa ajili ya kukusaidia kutimiza ndoto yako Hapo ni muonekano wa nyumba ya vyumba 4 all self , jiko, dinning, sebule, study room Plot coverage yake ni 20*20 na kuendelea Ungependa nyumba yako iwe ya aina gani Call/whatsup 0624004650 kuona plan yake Ujenzi wake mpaka kukamilika ni around 68-75m
Wakati ukiwa umesave pesa mwaka mzima kwa ajili ya ujenzi basi sisi tupo kwa ajili ya kukusaidia kutimiza ndoto yako Hapo ni muonekano wa nyumba ya vyumba 4 all self , jiko, dinning, sebule, study room Plot coverage yake ni 20*20 na kuendelea Ungependa nyumba yako iwe ya aina gani Call/whatsup 0624004650 kuona plan yake Ujenzi wake mpaka kukamilika ni around 68-75m
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Dec 1, 2018 #2 Weka ulizojenga Au ndio unaanza
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Dec 28, 2019 #3 black sniper said: Weka ulizojenga Au ndio unaanza Click to expand... Ndio anajaribu a.k.a nyumba darasa
black sniper said: Weka ulizojenga Au ndio unaanza Click to expand... Ndio anajaribu a.k.a nyumba darasa