muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Watu wengi wanasubiri waugue ndo waanze mazoezi, hiyo ni kosa kubwa sana.
Kwanza ukishaugua mwili utakosa na kuishiwa na nguvu, viungo vitauma yaani kila sehemu ya mwili utakuwa hoi.
Dawa ni moja tu kinga ni bora kuliko tiba, wale wenye matatizo ya pressure, kisukari, pumu, stroke, n.k jitahidi hata kutembea utokwe na jasho na kuimarisa mapigo ya moyo na kupumua.
Pamoja na tiba nyinginezo zinazopendekezwa MAZOEZI NI MUHIMU SANA.