Anza na Sielewi kwanini...

Anza na Sielewi kwanini...

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,955
Reaction score
9,041
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."

Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"

Haya wakuu, twende kazi.........
 
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."

Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"

Haya wakuu, twende kazi.........
Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu.
 
Naelewa.. sorry sielewi kwanini sielewi
 
Sielewi ni kwa nini Jane Lowassa alinunua Altereza wakati hajui pa kupata mafuta matokeo yake wanaume wanasuffer the most huko PM!
 
Back
Top Bottom