Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu.Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."
Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"
Haya wakuu, twende kazi.........
Sielewi kwanini usianzishe uzi wako unaoanza na ' sijui kwanini'Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu.
Sijui kwanini wanaume wa mikoani wanaongoza thread kuwa wana vibamia.sielewi kwa nini "wanaume wa dalisalama" wanasemwa sana kwenye threads mbalimbali